JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HIYO PICHA HAPO JUU UPATE NAFASI.. ..LIKE PAGE !..
kutokea
kwenye siasa ambayo inamuhusu msanii wa kike wa filamu, Chuchu Hans
ambaye hivi karibuni alikuwa ni miongoni mwa wasanii wanaomsupport
mgombea wa Urais kupitia UKAWA, Edward Lowassa lakini kwa sasa msanii
huyo ameamua kukikimbia chama hicho na kuki support chama cha Mapinduzi.
mwenyekiti wa Mama ongea na Mwana, Steve Nyerere amezungumza n
kuhusiana na msanii huyo kuhamia CCM…’Chuchu
hans alitoroka na sasa hivi amerudi nyumbani sifa ya kwanza unapotimiza
miaka 18 unaruhusiwa kwenda kujitegemea lakini ukiona maisha ni magumu
baba ni baba na mama ni Mama kwa hiyo sio dhambi mtoto kurudi nyumbani
na mimi kama Baba na Mama Samia tumempokea Chuchu Hans katika chama cha
Mapinduzi’ – Steve Nyerere
‘Chuchu Hans mpaka sasa hivi ana siku
ya tano tangu tumempokea na mganga siku zote haruhusiwi kusema kwamba
nani alikuja na mimi kama Mwenyekiti wa Mama ongea na Mwao Tanzania
siruhusiwi kusema wangapi wanahitaji kuja katika chama cha Mapinduzi
lakini viashiria vinaonesha wangapi wanahitaji kurudi’– Steve Nyerere
‘Kwa hiyo Chuchu Hans kafungua milango
kama Mwanamke jasiri kurudi kwa Mama yao na kaamua kurudi kwa Dkt John
Pombe Magufuli sasa si dhambi hata kwa hao wengi wakiamua kurudi
nyumbani huku hakuna yale maandamano, kwa hiyo ninachotaka kusema
ukitaka kuishi kwa Amani cha kwanza kabisa ni lazima ujitambue na ndio
maana Chuchu Hans kajitambua’ – Steve Nyerere
‘Lakini mimi nataka niwaambia wasanii
wenzangu tusipotoke na hayo yansyokuja ni mchanganuo baada ya wenzetu
wakiapishwa maisha mengine yanaendelea isije kutokea tukachukua
tukashindwa kufanya kazi zetu huko kwenye kazi za uigizaji naomba
nilisisitize hilo’ – Steve Nyerere
>
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Facebook Plugin by Lovetzz




Post a Comment