JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HIYO PICHA HAPO JUU UPATE NAFASI.. ..LIKE PAGE !..
Vilabu shiriki katika Ligi Kuu Tanzania Bara, Septemba 2 ni siku ambayo mdhamini mkuu wa Ligi hiyo kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom imekabidhi vifaa kwa timu zote 16, zitakazo shiriki Ligi Kuu msimu huu.
Kupitia kwa meneja masoko wa kampuni hiyo Kelvin Twissa wamekabidhi vifaa vyenye thamani ya jumla ya Tsh 490,000,000 mbele ya Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya Ligi Boniface Wambura.
“Vodacom
leo tuna furaha kubwa kukabidhi vifaa kwa ajili ya Ligi Kuu Vodacom
ambayo itaanza Septemba 12 mwaka huu, tumesaini mkataba wa miaka mitatu
ambao huu ndio wa kwanza, tumefurahi timu kuongezeka zimekuwa 16, hivyo
kutakuwa na jumla ya mechi 240, tumetoa jezi soksi, shin guard,
mipira”>>> Kelvin Twissa
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Facebook Plugin by Lovetzz







Post a Comment