JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HIYO PICHA HAPO JUU UPATE NAFASI.. ..LIKE PAGE !..
jana Sept 19 wasanii wa filamu
walipata mualiko kutoka kwa mgombea mwenza kupitia chama cha Mapinduzi,
Samia Suluhu na kuzungumza kuhusu kampeni ya Mama ongea na Mwanao inayosimamiwa na Steve Nyerere
Hizi ni baadhi ya picha za wasanii wa bongo movie walioalikwa nyumbani kwa mgombea mwenza kupitia CCM.

Pichani:Msanii wa Bongo Movie, Steve Nyerere ambaye ndie mwenyekiti wa kampeni ya Mama ongea na Mwanao.

Pichani:Steve Nyerere na Wema Sepetu wakiwa na mgombea mwenza kupitia chama cha Mapinduzi Samia Suluhu.
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Facebook Plugin by Lovetzz






















Post a Comment