JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HIYO PICHA HAPO JUU UPATE NAFASI.. ..LIKE PAGE !..

usiku wa September 24, 2015 taarifa ya Majonzi iliyosambaa na kuwafikia
watu kupitia Vyombo mbalimbali vya Habari pamoja na mitandao ya
Kijamii, Serikali ikathibitisha pia kuhusu msiba wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mama Celina Kombani amefariki Dunia kutokana na maradhi ya Saratani.
Sasa leo Sept 25 ripota wa
millardayo.com alipofika nyumbani kwa marehemu akakutana na Michael
ambae ni ndugu wa karibu wa marehemu na kazungumza naye..‘Kwa
kweli mgonjwa baada ya kura za maoni alirudi nyumbani Dar akasema
amechoka tukajua kwamba ni malaria tukampeleka hospitali ya TMJ akapata
vipimo ikasemakana kwamba ni malaria huku akiendelea na matibabu mpaka
siku ya mwisho alipoelekea India kufanya check up tu kama mtu wa kawaida
ili arudi hapa aendelee na kampeni’ Michael
‘Ratiba ya
mazishi bado haijakuwa sahihi lakini tunategemea kesho saa tisa na nusu
mchana kuupokea mwili wa marehemu katika viwanja vya Airport Julius
Nyerere ukitokea India, nakumbuka mara mwisho alikuwa ni mtu mwenye afya
nzuri na wala hakuna mtu ambaye alitegemea katika leo litatokea hili,
ameacha watoto watano (wakiume wane na wakike mmoja)’ Michael
>
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Facebook Plugin by Lovetzz



Post a Comment