Loading...

Gari jipya la Aunty Ezekiel…. anasema sio pesa za kampeni lakini!

> JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HAPA CHINI UPATE NAFASI..

JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HIYO PICHA HAPO JUU UPATE NAFASI.. ..LIKE PAGE !..

Mwaka 2015 unamalizika kwa Wasanii kadhaa wa bongo movie na bongo fleva wakiwemo wa zamani na wa sasa kuonyesha mali zao kama magari pamoja na nyumba wanazomiliki au wanazozijenga.
Stori hii ninayotaka kukusogezea inamuhusu Aunt Ezekiel ambae siku kadhaa zilizopita alikua kwenye headlines kuhusiana na kusupport majukwaa ya kisiasa.

Mwigizaji Kajala na Aunty Ezekiel
Mwigizaji Kajala na Aunty Ezekiel
Aunty alipost picha ya gari lake jipya kwenye instagram na kuandika kuwa gari hilo halijatokana na fedha za kampeni ya chama chochote bali amezawadiwa na mpenzi wake ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz aitwae Moze Iyobo….’
Aunty aliandika >>> ‘My new bby, Thanks a million baba Cookie#kwauchaguzi mana hamchelewi, we ni zaidi ya kiboko yangu #birthdaypresent# mana hamchelewi kusema CCM #happyfamily’
.
.
.
.
.
.
.
.
>
JISHINDIE SAMSUNG GALAXY MPYA KABISA JAZA FOMU NA UTAPIGIWA SIMU PAPO HAPO BOFYA HAPO JUU,RUDIA KUBOFYA MPAKA UONE SIMU UNAPIGIWA =>

Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Facebook Plugin by Lovetzz

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright WANAWAKE KWANZA | Modified By Zotekali WEB Exparts
Back To Top