Loading...

ZITTO KABWE ATOA KAULI NZITO KUHUSU UCHAGUZI WA SPIKA WA BUNGE

> JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HAPA CHINI UPATE NAFASI..

JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HIYO PICHA HAPO JUU UPATE NAFASI.. ..LIKE PAGE !..



Ameandika Maneno haya Kwenye Ukurasa wake wa Facebook:
|Hata Nyerere hakuwahi kujaribu kuleta Spika wake au Naibu Spika wake mfukoni. Alipomteua Chief Adam Sapi Mkwawa kuwa Waziri alifanyiwa rebellion na wabunge ( wakati wa chama kimoja) akamrudisha mpaka alipostaafu tena kwa kumtungia sheria ya ustaafu ( wakati wa Mwinyi). 
 
Unapoona Rais anajaribu ku impose Kiongozi wa Bunge anayemtaka mjue huko mbele Bunge litafanywa kibogoyo. Kwa mfano, hakuna Naibu Spika yeyote katika nchi hii ambaye hakuwahi kuwa Mbunge wa Jimbo. 
 
Nawakumbusha tu kwamba; Bunge huendeshwa kwa kutumia Katiba, Sheria, Kanuni na DESTURI au maamuzi yaliyokwishafanywa.
>
JISHINDIE SAMSUNG GALAXY MPYA KABISA JAZA FOMU NA UTAPIGIWA SIMU PAPO HAPO BOFYA HAPO JUU,RUDIA KUBOFYA MPAKA UONE SIMU UNAPIGIWA =>

Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Facebook Plugin by Lovetzz

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright WANAWAKE KWANZA | Modified By Zotekali WEB Exparts
Back To Top