Loading...

Shamsa, Faiza washerehekea kulea wenyewe!

> JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HAPA CHINI UPATE NAFASI..

JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HIYO PICHA HAPO JUU UPATE NAFASI.. ..LIKE PAGE !..


IMG_1415Mastaa wawili wa Bongo Muvi, Shamsa Ford na Faiza Ally wakifurahia jambo kwa kupeana mikono.
KITUKO: Kweli? Mastaa wawili wa Bongo Muvi, Shamsa Ford na Faiza Ally wametamba kuwa wanasherekea maisha ya ‘usingo mama’ wakidai wanalea wenyewe watoto wao bila wazazi wenzao.

Wakizungumza na Wikienda kwa pamoja wakiwa kwenye viwanja vya bata jijini Dar, Shamsa na Faiza walidai kuwa, pamoja na wazazi wenzao kukaa pembeni na kuwaachia majukumu ya kulea, ‘wanainjoi’ na kwamba wao ni mfano wa wanawake wanaojiamini.
IMG_1413“Sisi ni ‘singo mama’, tunasherehekea kulea wenyewe, hili ni jeshi kamili halimtegemei mtu,” alisema Shamsa anamlea mwanaye Terry aliyezaa na Dickson Matok ‘Dick’ huku Faiza anayeishi na mwanaye Shasa aliyezaa na Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ akidakia huku wakigonganisha viganja: “Tunasherekea kuwa singo mamaa…”
Kwa upande wao, Dick na Sugu hawakupatikana ili kusikia upande wao juu ya ishu hiyo hivyo jitihada zinaendelea.
>
JISHINDIE SAMSUNG GALAXY MPYA KABISA JAZA FOMU NA UTAPIGIWA SIMU PAPO HAPO BOFYA HAPO JUU,RUDIA KUBOFYA MPAKA UONE SIMU UNAPIGIWA =>

Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Facebook Plugin by Lovetzz

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright WANAWAKE KWANZA | Modified By Zotekali WEB Exparts
Back To Top