JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HIYO PICHA HAPO JUU UPATE NAFASI.. ..LIKE PAGE !..
Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Nigeria Super Eagles, John Ogu ameteka hisia za mashabiki wake baada ya kuamua kumvalisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi Adaolisa.
Ogu anayecheza soka la kulipwa huko Israel katika klabu ya Hapoel Be’er Sheva alifanya tendo hilo baada ya kumalizika kwa mchezo wao dhidi ya Maccabi Peteh ambapo waliondoka na ushindi wa mabao 5-2.
Mshambuliaji huyo alimwomba refa apulize
filimbi kabla ya kumwita mpenzi wake katikati ya uwanja kisha akapiga
goti na kumvalisha pete huku akishangiliwa na wachezaji wenzake.
Video iko hapa mtu wangu…
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Facebook Plugin by Lovetzz
Post a Comment