JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HIYO PICHA HAPO JUU UPATE NAFASI.. ..LIKE PAGE !..
September 14 na kusogezea karibu yako na moja kati ya stori nzuri za ukuwaji wa kiteknolojia.
Hii ni stori kutoka mymodernmet.com licha ya kuwa ni stori ya muda ila inawezekana ilikupita mtu wangu, haya ni maendeleo mengine ya kiteknolojia.
Licha ya kuwa haikuwahi kushinda tuzo ya gari yenye mvuto Terrafugia ilitajwa kuwa ni moja kati ya gari zitakazotumika miaka ya baadae.
Terrafugia kwa mara ya kwanza ilipaa March 5 2009 katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Plattsburgh New York.
Mtengenezaji wa Terrafugia gari inayopaa Carl Dietrich
alinukuliwa akisema mabadiliko ya gari hiyo yalianza kufanyiwa
uchunguzi toka 1918, licha ya kuwa yapo yaliyowahi kutengenezwa na
kufanyiwa majaribio kabla ya hili lakini hii imekuwa ya kwanza
kuthibitika na kukubalika.
Ina uwezo wa kubeba watu wawili, ina
uwezo wa kupaa maili 450 lakini inatajwa kuwa na uwezo wa kubadilika
kutoka ndege kuwa gari ndani ya sekunde 30 tu.
Bei yake ilikuwa inatajwa
kuwa dola 194000 ambayo ni zaidi ya milioni 420 za kitanzania kwa
thamani ya dola kwa sasa.
>
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Facebook Plugin by Lovetzz






Post a Comment