Loading...

Haya ni maamuzi ya Kanye West yaliyomfanya mbunifu huyu wa mavazi kubadili tarehe ya Fashion Show yake…

> JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HAPA CHINI UPATE NAFASI..

JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HIYO PICHA HAPO JUU UPATE NAFASI.. ..LIKE PAGE !..

Rapper wa Marekani Kanye West ambaye ni baba wa mtoto wa kike North West, mtoto aliyempata kwa staa wa kipindi cha Keeping Up With the Kardashians Kim Kardashian, ametangaza kwa kushtukiza kufanya New York Fashion Week Show kitu kilichopelekea wabunifu wengine wa mavazi kubadili tarehe ya Fashion Show zao.

2C4E901D00000578-3234053-image-m-17_1442247201266
Anne Bowen ambaye ni mbunifu wa mavazi amebadili tarehe ya onyesho la mavazi yake licha ya kuwa alikuwa amefanya uwekezaji mkubwa katika kipindi cha mwaka mzima kwa ajili ya Fashion Show yake. Maamuzi hayo ya Anne Bowen yamekuja baada ya Kanye West kutangaza kwa kushtukiza kufanya Fashion Show.
2C4FB8A200000578-3234053-image-a-20_1442247272295
Rihanna, Kanye West pamoja na mkewe Kim Kardashian hii ni moja ya picha waliyopiga mwezi February 

Kanye West ambaye ni mkali wa ngoma kama Bound 2 na Mercy aliyowashirikisha Big Sean, Pusha T na 2 Chainz ataonyesha toleo la pili la mavazi yake ya Kanye West X Adidas Originals Collection, kutokana na ukubwa wa jina la Kanye West. 

limemfanya Anne Bowen kubadili tarehe ya Fashion Show yao kwani huenda ikakosa watu. Hii ni stori kutoka dailymail.com.
2C4FB7F600000578-3234053-image-a-22_1442247305162
Baadhi ya mastaa waliyojitokeza kumsuport Kanye West mwezi February katika Fashion Show yake.
>
JISHINDIE SAMSUNG GALAXY MPYA KABISA JAZA FOMU NA UTAPIGIWA SIMU PAPO HAPO BOFYA HAPO JUU,RUDIA KUBOFYA MPAKA UONE SIMU UNAPIGIWA =>

Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Facebook Plugin by Lovetzz

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright WANAWAKE KWANZA | Modified By Zotekali WEB Exparts
Back To Top