Loading...

Ninazo picha 13 za mwigizaji Frank alivyofanya mkutano wa kuzungumza na wananchi jimbo la Tabata Segerea

> JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HAPA CHINI UPATE NAFASI..

JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HIYO PICHA HAPO JUU UPATE NAFASI.. ..LIKE PAGE !..

3X6A6809
Pichani:Mwenyekiti wa chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa na mgombea ubunge wa jimbo la Tabata Segerea Mohamed Mwikongi.


Kasi ya Wanasiasa kuzungumza na wapiga kura wao kwa sasa ndiyo stori ambayo inazungumzwa karibu kila kona ya Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Good news ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa mwigizaji wa filamu Mohamed Mwikongi aka Frank ambaye  anagombea Ubunge jimbo la Tabata Segerea kupitia chama cha ACT- Wazalendo, sasa Sept 13 alifanya mkutano wake wa kwanza wa kuzungumza na wananchi wake katika jimbo hilo.
.
Mwenyekiti wa chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe akizungumza na wananchi.
.
.
.
.
.
.
.
Wananchi waliojitokeza kusikiliza sera za chama hicho.
.
.
.
.
.
Mgombea Ubunge wa jimbo Tabata Segerea, Mohamed Mwikongi akizungumza na wananchi.
.
Wananchi wakisilizaji kwa makini sera za mgombea Ubunge kupitia chama cha ACT- Wazalendo, Mohamed ambaye ni mwigizaji wa filamu maarufu kama Frank.
>
JISHINDIE SAMSUNG GALAXY MPYA KABISA JAZA FOMU NA UTAPIGIWA SIMU PAPO HAPO BOFYA HAPO JUU,RUDIA KUBOFYA MPAKA UONE SIMU UNAPIGIWA =>

Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Facebook Plugin by Lovetzz

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright WANAWAKE KWANZA | Modified By Zotekali WEB Exparts
Back To Top