Loading...

Licha ya ushindi wa goli 3-1 dhidi ya Liverpool Louis van Gaal hakiamini kikosi chake…

> JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HAPA CHINI UPATE NAFASI..

JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HIYO PICHA HAPO JUU UPATE NAFASI.. ..LIKE PAGE !..

Kocha wa klabu ya Manchester United Louis van Gaal ambaye amekiongoza kikosi chake kupata ushindi mnono katika mchezo wa Ligi Kuu Uingereza September 13 dhidi ya Liverpool ameshindwa kuthibitisha ubora wa kikosi chake wa kuzifunga timu zingine katika michuano ya klabu Bingwa barani Ulaya.


Van Gaal alishindwa kutoa jibu la kuwa kikosi chake ni bora na kitafanya vizuri katika michuano ya Ligi ya mabingwa Ulaya katika mchezo wa kundi B dhidi ya PSV Eindhoven ya Uholanzi.  

Man United ni moja kati ya vilabu vya Uingereza vitavyocheza mechi za Ligi ya mabingwa Ulaya September 15.
Louis van Gaal
“Msimu uliyomalizika wa Ligi Kuu tulishika nafasi ya nne na kufuzu kucheza Ligi ya mabingwa, hilo ndio lilikuwa lengo letu, lakini sasa tunalazimika kucheza kwa kiwango cha juu lakini sina uhakika na hilo tusubiri tuone, nafikiri Ligi ya mabingwa ni mashindano magumu kuliko Ligi Kuu, lakini huenda isiwe kama ninavyofikiria”>>> Van Gaal
>
JISHINDIE SAMSUNG GALAXY MPYA KABISA JAZA FOMU NA UTAPIGIWA SIMU PAPO HAPO BOFYA HAPO JUU,RUDIA KUBOFYA MPAKA UONE SIMU UNAPIGIWA =>

Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Facebook Plugin by Lovetzz

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright WANAWAKE KWANZA | Modified By Zotekali WEB Exparts
Back To Top