JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HIYO PICHA HAPO JUU UPATE NAFASI.. ..LIKE PAGE !..

MAKUBWA! Dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moze Iyobo amekubali kuruhusu mtoto aliyezaa na mwigizaji Aunt Ezekiel achukuliwe na mume wa mwigizaji huyo, Sunday Demonte aliyeko jijini Abu Dhabi akitumikia kifungo cha msala wa madawa ya kulevya.

Dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moze Iyobo akiwa na mzazi mwenzie Aunt Ezekiel.
Iyobo ametoa kauli hiyo mara baada ya Sunday ambaye imeelezwa kuwa
anaweza kutoka wakati wowote kutokana na utii wake gerezani, kutuma
salamu kuwa anafahamu Aunt amezaa na Moze lakini watambue kuwa mtoto
huyo ni wake kwani kitanda hakizai haramu.
“Ameweka wazi kabisa kuwa kitanda hakizai haramu hivyo Cookie (mtoto
wa Aunt) hawezi kuwafanya watengane, atamchukulia kama mwanaye wa kumzaa
kwa kumpa matunzo yanayostahili,” kilisema chanzo.
Alipoulizwa Moze kuhusiana na ishu hiyo, alijibu kwa kifupi: “Kama
suala ni mtoto haina shida nitamuachia tu kwani si atapatikana mwingine,
siyo ishu sana.”
>
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Facebook Plugin by Lovetzz


Post a Comment