Loading...

LULU: MIMI NA DK. CHENI NI SIRI YETU!

> JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HAPA CHINI UPATE NAFASI..

JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HIYO PICHA HAPO JUU UPATE NAFASI.. ..LIKE PAGE !..

SIKU Chache baada ya muigizaji wa siku nyingi, Mahsein Awadhi Said ‘Dk. Cheni’ kutoa tamko juu ya kumuoa ‘mtoto mkubwa’ katika tasnia hiyo, Elizaberth Michael Kimemeta ‘Lulu’, binti huyo mwenye mvuto amesema hakuna mtu wa kumzuia kuwa karibu na Dk. Cheni huku akishikilia alichokisema…. “mambo yetu hayamhusu mtu”,


Waigizaji wa siku nyingi, Mahsein Awadhi Said ‘Dk. Cheni na Elizaberth Michael ‘Lulu’ wakiwa kwenye pozi.
Muda mfupi baada ya Dk. Cheni kusema haoni tatizo kwa kumuoa Lulu, gazeti hili lilimtafuta msanii huyo kwa njia ya simu “Mtu anayesimama na wewe wakati wa shida ndiye rafiki kwa kweli, Dk. Cheni amenisaidia pale ambapo kila mtu alijitenga nami, kama kuna kinachoendelea kati yetu, ni cha kwetu na mambo yetu,” alisema.
>
JISHINDIE SAMSUNG GALAXY MPYA KABISA JAZA FOMU NA UTAPIGIWA SIMU PAPO HAPO BOFYA HAPO JUU,RUDIA KUBOFYA MPAKA UONE SIMU UNAPIGIWA =>

Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Facebook Plugin by Lovetzz

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright WANAWAKE KWANZA | Modified By Zotekali WEB Exparts
Back To Top