JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HIYO PICHA HAPO JUU UPATE NAFASI.. ..LIKE PAGE !..
Katika majibu yake, Lowassa amesema atakubali matokeo kama hayatachakachuliwa, vinginevyo hatakubali.
Waandishi pia walitaka maoni ya Lowassa kuhusu hukumu ya mahakama kukataza watu kukaa mita 200 baada ya kupiga kura.
Katika majibu yake, Lowassa amesema hali aliyoiona kituoni ni ya amani na utulivu hivyo hana maoni ya ziada kuhusu hukumu ya kukaa mita 200

>
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Facebook Plugin by Lovetzz



Post a Comment