JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HIYO PICHA HAPO JUU UPATE NAFASI.. ..LIKE PAGE !..
BARAZA la Madiwani la halmashauri ya wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora limewafukuza kazi watumishi watatu wa halmashauri hiyo huku mmoja akisubiri kufikishwa mahakamani na wengine nane wakipewa onyo kali.
Akitoa tarifa ya uamuzi uliofikiwa na baraza hilo , Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya Sikonge Peter Nzalalila amsema kwamba baraza hilo limefikia maamuzi hayo baada ya kamati iliyoundwa kufanya uchunguzi kubaini kuwepo kwa makosa mbalimbali ya kiutendaji .
Nzalalila ametaja baadhi ya tuhuma zilizokuwa zinawakabili watumishi hao kuwa ni ameeleza kuwa watumishi hao waliofukuzwa kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo uzembe kuwa ni aliyekuwa Afisa Ushirika wa halmashauri hiyo Justin Kapufi, Afisa Sheria wa halmashauri Rebecca Liyanga na Mtendaji kata ya Kipanga Emmanuel Kalumay.
Aidha alisema Mweka Hazina wa halmashuri hiyo Evance Shimdoe na Mhasibu Richard Ndalo waliokuwa wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi
Aidha alisema Mweka Hazina wa halmashuri hiyo Evance Shimdoe na Mhasibu Richard Ndalo waliokuwa wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi
baraza hilo limejiridhisha pasipo shaka kuwa watumishi hao walifanya uzembe katika utendaji wao hivyo kupewa onyo kali.
Katika maamuzi hayo aliyekuwa Afisa Utumishi wa halmashauri hiyo Elly
Aketch ambaye alikumbwa na rungu hilo na kusimamishwa kazi awali,Mwenyekiti alisema halmashauri inaandaa utaratibu wa mashataka ilikufikishwa kizimbani kwa uzembe ulioisababishia hasara kubwa halmashauri hiyo.
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Facebook Plugin by Lovetzz



Post a Comment