JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HIYO PICHA HAPO JUU UPATE NAFASI.. ..LIKE PAGE !..
Kazi yangu ni kuhakikisha haupitwi na
chochote na hapa stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutokea
(Mwanza) kuhusiana na ule ujenzi wa Mall inayoitwa Rock City Shopping
Mall aka Mlimani City yao.
Sasa good news ni kwamba wakati wowote
inatarajiwa kuanza kufanya kazi kwenye jiji hilo, ripota amefanikiwa kuzipata hizi picha 30 za muonekano wa Mall
hiyo kwa ndani na nje.
Naambiwa haya mawe ni kama utambulisho wa jiji la Mwanza ambayo wameamua kuyaweka katika mlimani City yao.
Mtu wangu ukiwa kwa juu kwenye Mlimani City yao kama unavyoona mbele unaonekana uwanja wa CCM Kirumba.
Hii ni camera ilivunjwa kwa nje ili kuhakikisha kuangalia kila kitu kinachoendelea kwenye Mlimani City yao.
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Facebook Plugin by Lovetzz
Post a Comment