Loading...

Sergio Aguero kuukosa mchezo wa kwanza wa UEFA, hawa ni wachezaji wengine waliyorejea Uwanjani baada ya majeruhi…

> JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HAPA CHINI UPATE NAFASI..

JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HIYO PICHA HAPO JUU UPATE NAFASI.. ..LIKE PAGE !..

Klabu ya Manchester City ya Uingereza September 15 inashuka dimbani kucheza mechi yake ya kwanza ya hatua ya makundi ya klabu Bingwa barani Ulaya dhidi ya klabu ya Juventus ya Italia, hii ndio mechi ya kwanza ya kundi D kwa klabu zote mbili.

premier-league-newcastle-manchester-city-sergio-aguero_3192155
Sergio Aguero
Manchester City wamethibitisha kumkosa mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina anayeitumikia klabu hiyo Sergio Aguero baada ya kupata majeraha ya goti.  

Aguero ataukosa mchezo dhidi ya Juventus baada ya kupata majeraha ya goti katika mechi dhidi ya Crystal Palace, mechi iliyomalizika kwa Man City kuibuka na ushindi wa goli 1-0.
silva_3144429b
David Silva
Mshambuliaji huyo alipata jeraha la goti baada ya kufanyiwa tackling na Scott Dann hivyo hatokuwepo katika mechi hiyo, pamoja na hayo kocha wa klabu hiyo Manuel Pellegrini amethibitisha kurejea kwa David Silva na Raheem Sterling licha ya kukosa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Crystal Palace.
&MaxW=640&imageVersion=default&AR-150729806
Raheem Sterling
>
JISHINDIE SAMSUNG GALAXY MPYA KABISA JAZA FOMU NA UTAPIGIWA SIMU PAPO HAPO BOFYA HAPO JUU,RUDIA KUBOFYA MPAKA UONE SIMU UNAPIGIWA =>

Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Facebook Plugin by Lovetzz

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright WANAWAKE KWANZA | Modified By Zotekali WEB Exparts
Back To Top