JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HIYO PICHA HAPO JUU UPATE NAFASI.. ..LIKE PAGE !..
Wananchi wakiangalia ajali ya
daladala lenye namba za usajili T 456 BVT lililoacha njia kutokana na
mwendokasi na kuparamia genge na bajaj yenye namba MC 611 ADC, maeneo ya
Kitunda relini barabara ya Mombasa kwenda Moshi Baa Dar es Salaam leo
asubuhi. Imeelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi wa daladala
kukimbilia abiria. Katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa.
Wananchi wakiangalia ajali hiyo.
Daladala hilo likiwa ndani ya genge baada ya kuacha njia.
Bajaj namba MC 611 ADC, likiwa kando ya daladala hilo baada ya kugongwa.
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Facebook Plugin by Lovetzz


Post a Comment