JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HIYO PICHA HAPO JUU UPATE NAFASI.. ..LIKE PAGE !..
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ambaye anamaliza kipindi cha utawala wake
wa miaka kumi amefanya mambo mengi ya maendeleo na kustawisha hali ya
uchumi na jamii ya Tanzania kadiri alivyoweza. Kama binadamu viongozi
wengine, ameffanya juu chini kutekeleza alichohiahidi kwa wananachiwake
tangu aingia mdarakani mwaka 2005. Baadhi ya mambo aliyoyafanya ni
yafuatayo:
1. Ujenzi wa barabara za lami zaidi ya kilomita 17,000.
2. Kuchimba gesi asilia Mtwara na kuweka bomba hadi Dar. 3. Kuwapa kipaumbele wanawake kwenye uongozi kitaifa. 4. Kujenga madaraja kwenye mito mikubwa nchini. 5. Kujenga chuo kikuu cha Dodoma. 6. Kuleta mabasi ya mwendo kasi jijini Dar. 7. Kumleta Kocha wa Timu ya Taifa Stars, Marcio Maximo, na kumlipa mshahara.
8. Kuinua wasanii, wanamuziki na waigizaji nchini. HAPPY BIRTHDAY Rais Wetu Jakaya Misho Kikwete.
>
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Facebook Plugin by Lovetzz
Post a Comment