JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HIYO PICHA HAPO JUU UPATE NAFASI.. ..LIKE PAGE !..
Mamlaka hizo zimetoa uamuzi huo baada ya kuafiki hoja kwamba wakati
makosa hayo yakitendeka Messi alikuwa na umri mdogo kiasi cha kutojua
nini kinaendelea.
Hata hivyo Kesi hiyo itaendelea kwa Baba yake Messi aitwae Jorge Messi.
Messi, ambae ni Mchezaji wa Barcelona, alishtakiwa yeye pamoja na
Baba yake kwa ukwepaji Kodi kati ya 2007 na 2009 unaokadiriwa kufikia
Euro Milioni 4.1.
Ukwepaji huo wa Kodi ni ule wa kuuza Haki za Matangazo ya Staa huyo nje ya Spain na hivyo kuikosesha Nchi hiyo mapato.
Licha ya kumfutia Mashitaka Messi, Waendesha Mashitaka wa Kesi hiyo
wamesema Messi huenda akaitwa Mahakamani kutoa ushahidi dhidi ya Baba
yake ambae ndie Wakala wake tangu aanze Soka.
Ikiwa atapatikana na hatia, Jorge Messi anaweza kufungwa Miezi 18 au kupigwa Faini Euro Milioni 2 au vyote kwa pamoja.
Hata hivyo, mara baada ya tuhuma hizi kuibuka Messi na Baba yake
walilipa Kodi yote waliyokuwa wakidaiwa pamoja na malimbikizo ya Riba
yake.
>
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Facebook Plugin by Lovetzz
Post a Comment