JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HIYO PICHA HAPO JUU UPATE NAFASI.. ..LIKE PAGE !..
Mgombea urais wa Tanzania
kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Nghwira (kulia), na Mgombea nafasi
hiyo kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Chifu
Litayosa Yemba wakijibu maswali mbalimbali katika mdahalo wa wagombea
urais ulioandaliwa na Taasisi ya Twaweza Dar es Salaam.
Hata hivyo
wagembea nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.John Magufuli
na Edward Lowassa kupitia Chadema hawakuweza kuhudhuria kwa sababu
mbalimbali.
Waongozaji wa mdahalo huo wakiwa kazini.
Wadau wakiwa kwenye mdahalo huo.
Raia wa kigeni na wadau wengine wakifuatilia mdahalo huo.
Mdahalo ukiendelea.
Vijana wakiwa kwenye mdahalo huo.
Na Dotto Mwaibale
MGOMBEA
wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli pamoja
na Mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), pamoja na vyama vinaunda Ukawa, Edward Lowassa leo
wameshindwa kuhudhuria mdahalo maalumu wa wagombea urais ulioandaliwa na
mkimkiki kutokana na sababu mbalimbaliu.Mdahalo
huo ulikuwa unajadili mambo mbalimbali kama vile uchumi,katiba ya
uchaguzi,malengo endelevu ya umoja wa mataifa, katiba inayopendekezwa,
viashiria vya uvunjifu wa amani nchini,uchumi na huduma za kijamii
kwenye sekta ya afya.
Wakizungumza kwenye mdaharo huo Dar es Salaam wagombea nafasi za urais kupitia vyama vya ACT-wazalendo, ADC na TLP walikuwa na mengi ya kuelezea kuhusu mstakari wa taifa la Tanzania. Mgombea urais wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Chief Lutasola Yemba akijibu swali lilioulizwa kwamba wagombea hao watawezaje kuondoa rushwa kwa wanafunzi pindi wanapotafta ajira endepo akipata ridhaa ya kuingia madarakani alisema.
SWALI
Mtawezaje kuondoa tatizo la rushwa kwa wanafunzi waliokoswa nafasi za kazi kwa maadai ya kukoswa uzoefu huku wakiombwa chochote kabla ya kupewa ajira rasmi.
Chief Yemba alisema Serikali ya ADC itahakikisha wanafunzi wanatakiwa kupata kazi punde baada ya kuhitimu masomo yao bila kusubiri kupata uzoefu huku akiwa anafanya kazi katika taaluma yake hata kama ni kwalipo kidogo na kwa baadae atakuwa na uzoefu mkubwa.
Kwa upande wake mgombea urais kupitia Chama cha ACT- wazalendo ,Anna mghira akijibu swari hilo alisema rushwa ni utamaduni lakini chama cha ACT- wazalendo kiatatoa elimu ya rushwa tangu wakiwa wadogo,ambapo itakuwa ni utamaduni wa mwanafunzi tangu akiwa mdogo.
''Pia tumeweka mikakati ya utekelezaji ambapo ni namna tutakavyoshughulika na mikakati mbalimbali huku tukiwajumlisha wananchi kutoa maoni yao na kurudi kwetu kiutekelezaji ili kuziba mianya ya rushwa ,''alisema
Swali
Nini tofauti kati ya ugonzi na mfumo wa uendeshaji wa Serikali yaani utawala?
Mghira alisema Chama hicho kitahakikisha kinashirikiana na watanzania katika suala zima l;a uongozina kuongoza kwa uhuru huku akisema utawala ni kuendesha watu kwa kutoa amri na masharti bila kujali.Kwa upande wake Chief Yemba akijubu swari hilo alisema kupitia chama cha ACT wazalendo tutahakikisha tunawashirikisha wananchi kila jamabo ili kuwa viongozi ambao wanashirikiana na wananchi wake na kufikia maendeleo kwasababu sisi hatutaki kutawala wananchi bali kuwaongoza watanzania,''alisema.
Sifa za kuwa RaisMghira Naielewa nchini yangu vema,mimi nimwanasheria kitaluuma ni elimu inayoweza kumleta mtu kumudu kuishi pamoja na kushughulikia migogoro ya jamii''Nikichanganya na hii ya elimu ya haki za binadamu naamini kabisa naweza kuwa Rais wa nchi na upole wangu sio udhaifu,upole ni nguvu na naweza kuwatumikia watanzania na kuwa kiongozi wao mzuri,''alisema.

Alisema
Taifa lilipofikia kwa sasahivi linahitaji mtu anae weza kutatua
migogoro kwa njia ya busara na si kupiga kelele na upole wangu ni nguvu
kwa taifa hasa katika wakati huu abao taifa linaonekana kuwa katika
mgongano.
Chief Yemba
alisema Urais hauna uzoefu wala mtu asiseme mimi siwezi kwasababau
uraisa ni tasisi na hakuna mtu anaeweza kuwa Rais peke yake bila
kushirikiana na wezake mimi ni rais bora wa Tanzania.
''Nimekuwa
Rais wa klabu za soka katika kipindi chote cha maisha yangi tangu mwaka
1886 na sasa nimeteuleiwa na chama changu kuongoza ilani ya chama ili
kufikia mafanikio ya kuondoa umasikini maradhi na ujinga,''alisema.
Alisema
amekuwa mfanyakazi bora katika kipindi chote alipokuwa nikifanya kazi
katika klabu za mpira na amekuwa akiibua vipaji vya wachezaji pia
hajawahi kufanya kazi bila mafanikio kwa wananchi.
Kukomesha rushwa
Mghira
Rushwa ni tatizo kubwa katika taifa letu,mimi nitashughulikia kuondoa
mazingira magunu kazini, kuboresha mazingira ya kazi ili kuwafaya
wafanyakazi kuwa huri.
Alisema
Atajitahidi kuweka sera katika utumishi wa umma kuweza sheria na
taratibu ambazo zikifuatwa zinaweza kuondoa tatizo la rushwa nchini.
''Taifa linahitaji kuwa na ukusanyaji wa mapato wa kutosha kutoka asilimia 11 ya sasa na kufikia asilimia 25 kama chama changu kilivyojipangia pamoja na kuzibiti kodi katika ukusanyaji na kuziba mianya ya ukusanyi kodi na hapo tutapa mapato yanayopotea,''alisema.
Tume ya uchaguzi.
Mghira alisema kitendo cha watu kuambiwa wakishapiga kura warudi nyumbani hii ni hali inayoonesha tume haipo huru kwaababu kama ingekuwa huru isingefanya hivyo, lakini labda nikwasababu bado tunatumia utaratibu wa tume ya zamani.
''Naaiamnini na ningeomba watende haki katika kipindi hiki ili kutoa haki kwa wagombea wa nafasi mbalimbali katika mchakato huu,''alisema.

tume naaimani lakini haipo huru kwasababu ya mfumo wa kiutawala
unaingiliana na chama tawala kwa asilimia kubwa haifanyi mambo yake kama
tume,pengine utasikia kamuli mbalimbali laini tume haitoa onyo.
Uzalendo
Uzalendo
Chif Yemba
alisema uzalendo ni hari ya kujitoa katika kulitumikia taifa na
kuhakikisha kwamba wanalililetaea taifa faida na si hasara, na kwamba
kama atapata ridhaa ya kuwa Rais wa nchi atashirikiana na chama chake
kuweka misingi ya umoja ustahimilivu,uwajibikaji,ushirikishwaji na
maadili ya uongozi ambayo yatasaidia kuondoa ufisadi.
Mghira alisema yeye akiingia madarakani kama atapa ridhaa anataka kuweka uzalendo kwanza kwenye usambazaji wa habariili kutoa fursa pana na uhuru wa habari nchini.
Mghira alisema yeye akiingia madarakani kama atapa ridhaa anataka kuweka uzalendo kwanza kwenye usambazaji wa habariili kutoa fursa pana na uhuru wa habari nchini.
''Mimi
naamini katika kutoa habari na kuzisambanza kwa wanachina hili
likpokatika ilani ya chama changu ambapo tuatahakikisha wanahabari
wanakuwa huru kutafta habari na kurejesha kwa wananchi,''alisema.
Chief Yemba
alisema yeye anaamini katika ushirikishwaji wa wananchi katika mambo
mbalimbali yanayofanyiwa tafti kwajili ya maendeleo ya Taifa na pia
,chama chake kinaamini katika tafti za kisayansi.
''Suala la
sheria ya makosa ya mtandao ni zuri lakini inabidi kuangaliwa ili
kutowabana wanahabari kutoa habari kwa wananchi kwasababu taifa bila
habari ni taifa lilokufa,''alisema.
Msimamo wao katika katiba pendekezwa.
Msimamo wao katika katiba pendekezwa.
Yemba mimi
sisemi kama kuna katiba mpya bado tunatumia katina ya zamani maana hata
ile anayosemwa imefanyiwa marekebisho lakini bado haijafika kwa
wananchi.
Alisema
kama atapata ridhaa ya wananchi kuchaguliwa kuwa Rais wa awamu ya tano
atahalkikisha mchakato wa katiba unarudiwa upya na pia kwenda kwenye
tafti kuangalia katiba ya jaji waryoba kama inakidhi vigezo kama la
wataongeza vipengere vya msingi.
Mghira
alisema akam atapata ridhaa ya kuwa Rais wa Tanzania kwa wamu ya tano
atahakikisha chakato wa katiba unarejeshwa kwasababau mchakato huo
haukukubalika na wananchi mwanzoni.
Swali Viashiria vibaya vya mgawanyiko ambayo vinajitokeza,hali hii mnaionaje na mkiingia madarakani mtaikomeshaje.
Chief Yemba tatizo kubwa linaletwa na watu wanaofikiri tumbo badala ua watu,ili kuondoa viashiria hivi inabidi kupata mtu ambaye anaangalia watu na si utu wala tumbo lake.
''Tutahakikisha tunaondoa misngi ya viashiria kwa misngi ya haki katika dini zote na kutokuwepo kwa ukanda,nawashauri watanzania kuchangua ADC kuondoa tofauti,''alisema.

Mgwilla
akijubu swali hilo alisema anafuriki ubaguzi upo kwa viongozi zaidi
kuliko wananchi,japo yeye hakukutana na ubaguzi wa aina yeyote katika
kupita huko na kule kwenye kampeni zake.
''Mwanzoni nilikuwa na fikra za kukutana na ubaguzi kwasababau katika Taifa letu kuna kawaida ya kumkubali mwanamume kwa kila kitu anachokifanya lakini si mwanamke,namshukuru Mungu sikukutana na ubaguzi wa aina yeyote walifrahi kuniona na wamenikubali,''alisema.

Muungano
Mghira akizumngumza kuhusiana na
muungano alisema muungano wa tanganyika bado hauna ukubali wa wananchi
na kwamba hiyo ni changamoto kubwa kwani wananchi wahana ridhaa ya
muungano kikatiba hali inayofanya wananchi wa pande zote mbili
kugomgana.Chief Yemba alisema
Muungano hauna haki sawa na ili kuwepo na makubaliano ya muungano
nilazima haki sawa ipatikane kwa watu wote wa tanzania na Zanzibar,kutoa
fursa sawa kwa wote kiuchumi na hata katika sekta ya afya na sekta
zingine.
''Tunatakiwa kufikiria kuwa na fursa sawa ili kuondoa malalamiko pamoja na kuwa na mfumo wa Serikali unaopendekezwa na pande zote mbili,''alisema Chief Yemba.
Mabadiliko ya kweli nchini
Yemba alisema mafanikio ya ADC ni kujikita katika kuondoa ujinga umasiki na maradhi paoja na kuondoa mfumo ambao unafanya kazi katika Serikali ya CCM.Mghira alisema mabadiliko ya kweli nchini katika Serikali ya wazalendo ni mtumizi mazuri ya rasilimali za nchi kama vile mafuta gesi na vyanzo vya mapato.
Alisema dhana ya kuiondoa CCM madarakani ni dhana ya kisiasa lakini CCM yenyewe ingefanya utaratibu wa kuondoka madarakani ili vyama vingine tujaribu kuleta maendeleo katika Taifa hili.Mapato wanataluuma na wanasiasa.Watalaam hawapewi mshahara stahiki kama inavyotakiwa,nilazima waboreshe mishahara ya wanataluma,Serikali inatakiwa kutofautisha kulipa mshara wafanyakazi wa kudumu ambao ni watalaamu mkubwa badala ya wabunge ambao ni wana muda mfupi Serilakini.Chife Yembe Urafiki katika utawala ni tataizo tunachohitaji ni kuwa na mchanganuo mzuri wa kufanya kazi kulingana na taaluma zetu pasipo kuangalia huyo ni rafiki au ndungu maana hii inachangia upendeleo wa mapato kazini katika taluma mbalimbali.
Mghira
wanasiasa wanakipato kikubwa kuliko watalaamu kwa sasa lakini sisi
chini ya chama changu tutakuza sekta mhimu na kkisha kushughukia sekta
za uzalishaji na wanawekeji kuiletea nchi mapato na ttafta posho za
wanasiasa ili kuita uwiano wa wanataluma na wanasiasa
''Hakuna uhusiano wa huru unaoonekana
kati ya Srikali na Zaki mara nyingi sekta binafsi inakinzana na sekta
ya umma,Mimi na chama changu tukiwa tumepewa ridhaa tutaunda kikundi
huru ambacho kitashughulikia tatizo hilo ili kuleta mahusiano mazuri
kati ya hawa watatu,''alisema Anna.
Uchumi
Mghira alisema ACT tumezungumzia viwanda lakini bado suala hili linachangamoto kubwa kwasababu Tanzania bado hatuna umeme imara na maji ya kutosha katika semunu za vijijini hivyo tutahiji kuweka mikakati madhubuti ya kuweka mifumo rasmi ili kuanza kujenga na kufufua viwanda.
''Mikataba yote itakuwa ya wazi si ya siri ili kuwezesha wananchi kushiriki katika kuisoma na kutoa maamuzi na wale wasioona watapelekewa katika maeneo yao ili kukuza ushrikishaji wa wananchi,''alisema

Kwa upande wake Chief Yemba alisema
ADC wamekubaliana Viwanda vinatakiwa kutokana na wananchi wenyewe huku
akitolea mfano wa dhahabu kwamba inatoko chini ya ardhi na mwananchi
aliyopo hapo anatakiwa kuwezesha kabla ya kuhamishwa ili kusaidia
kuwaendeleza.
TLP
TLP
Lazima kuwe na bajeti za kuwesha
upanuzi soko la ajira na lazima soko hilo liwashirikishe wazawa yaani
wananchi wenyewe na hivyo dhahabu kama ni 2.2 lazima ieleweke kwa
wananchi.
Huduma za kijamii kwenye sekta ya afya. Suala la kujiunga na mifuko ya jamii iwe lazima au hiari.
Huduma za kijamii kwenye sekta ya afya. Suala la kujiunga na mifuko ya jamii iwe lazima au hiari.
Mghira Tukifanikiwa kuinua uchumi wa
nchi yetui tutweza kuchukua jukumu ya kutoa huduma za afya kwa wananchi
bure,na mifuko ya jamii tunaichukulia kama kichocheo cha mapato katika
jamii.
Yemba Serikali ya ADC itahakikisha inawaondolea wananchi wake maradhi na ujinga,Serikali itategeneza mfumo wa kumuwekea mwananchi fedha kutoka kwenye rasilimali alizonazo katika eneo lake,hakuna ulazima wa kumlazimisha mwananchi kuchangia huduma za fya.

''Tanzania imejaa rasilimali za
asilimi hivyo hakuna sababu ya kumulazimisha mwananchi kulipipa gharama
za afya,kinachotakiwa ni kutegeneza mfumo unaotoa fursa kwa wananchi.
Kwanini Hospitali nyingi za umma hazina dawa?
Mghira alisema watapambana na ufisadi
kuweka miondombinu imara ili kuhahakisha kuna dawa za kutosha katika
hospitali za umma pia dawa zinakosekana kwenye hospitali za umma kukoswa
maadili ya kiutabibu.
Chief yemba Kunatakiwa uwajibishaji
watu wanaohusika kufanya hivyo wanatakiwa kuwajibishwa na pamoja na
kuondoa tabaka la walio nacho na wasio nacho nchini pamoja na kuziba
mianya ya rushwa ili kutoa fursa ya kupata matibabu kwa wote
Tanzania Labour Party(TLP), Macmillan Lyimo akinzungumzia suala la kuisha dawa kwenye hospitali za umma alisema Lazima
mifumo ya ufuatiliaji wa dawa uboreshwe na kuondoa mianya ya rushwa ili
kutoa haki kwa watu wanyonge ikiwa ni pamoja na kuwapatia wananchi haki
ya kupata matibabu.
Uchumi.
Uchumi.
Umejiandaaje kumaliza deni la taifa
Chief Yemba alisema Suala linabakai palepale kuziba mianya ya rusha,lakini tatizo la viongozi wa Tanzania huajibika wakati wa kampeni pekee,ingekuwa vema kama viongozi waliochangia kuingizia nchi deni kubwa wangewajibishwa katika mchakato wa kurejesha fedha,ili kutoa nafasi kwananchi kufanya maendeleo katiik taifa na si kulipa deni kila mwaka.

Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Facebook Plugin by Lovetzz
Post a Comment