JE WEWE UNA ELIMU YA KIDATO CHA NNE ?PATA AJIRA NA UJIONGEZEE KIPATO HADI LAKI 8 KWA MWEZI WAHI NAFASI NI CHACHE BOFYA HIYO PICHA HAPO JUU UPATE NAFASI.. ..LIKE PAGE !..
Waandishi
wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya Habari katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa
wakiwa Jijini Mwanza katika Semina ya siku tatu (Octoba 19 hadi 22) juu
ya VYOMBO VYA HABARI NA UCHAGUZI iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi
wa Habari Wanawake Tanzania TAMWA.
Wanahabari watapata fursa ya
Kujadili yale yanayoendelea katika kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu
unaotarajia kufanyika Octoba 25 mwaka huu na nanma Vyombo vya Habari/
Waandishi wa Habari wanavyoripoti habari za Uchaguzi Mkuu kwa kuzingatia
haki sawa kwa pande zote ikiwemo wagombea, wapiga kura huku suala la
gender balance pia likizingatiwa.
Na:George Binagi-GB Pazzo
Waandishi
wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya Habari katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa
wakiwa Jijini Mwanza katika Semina ya siku tatu juu ya VYOMBO VYA
HABARI NA UCHAGUZI iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari
Wanawake Tanzania TAMWA.
Waandishi
wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya Habari katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa
wakiwa Jijini Mwanza katika Semina ya siku tatu juu ya VYOMBO VYA
HABARI NA UCHAGUZI iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania TAMWA.
Majadiliano yakiendelea
Majadiliano yakiendelea
Beatrice
Bandawe (Kushoto) ambae ni Mhariri wa Gazeti la Nipashe akiwa pamoja na
Godfrida Jola (Kulia) ambae ni Afisa Programu TAMWA wakitoa ufafanuzi
juu ya Semna kwa wanahabari inayofanyika Jijini Mwanza.
Leonida
Kanyuma ambae ni Afisa Habari TAMWA akizungumza katika Semina kwa
Wanahabari juu Vyombo vya Habari na Uchaguzi inayofanyika Jijini Mwanza.
>
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Facebook Plugin by Lovetzz
Post a Comment